‘TUMECHOKA MSIMU HUU TUNABEBA UBINGWA WA AFRIKA, ANAYEIONA SIMBA HAICHEZI VIZURI HAJUI MPIRA’


PRIME

Yanga yaficha wawili wapya

KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ambao ni beki Israel Mwenda kutoka Singida Black Stars na Jonathan Ikangalombo anayemudu…