Jimbo la California, na haswa mji wa Los Angeles, kwa mara nyingine tena umekumbwa na moto mkubwa ambapo awamu hii mpya ya moto wa nyika imerejea na upepo mkali zaidi, ikiwa ni chini ya wiki mbili baada ya mji huo kuteketezwa kwa moto mkali usiozuilika ambao umeua watu wasiopungua 27 na kuharibu majengo 12,300.
Related Posts
Rwanda yakata mahusiano ya kidiplomasia na Ubelgiji kutokana na mgogoro wa DRC
Rwanda imekata mahusiano ya kidiplomasia na Ubelgiji Jumatatu huku kukiwa na mgogoro katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
Rwanda imekata mahusiano ya kidiplomasia na Ubelgiji Jumatatu huku kukiwa na mgogoro katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
Iran yazindua meli mpya zilizoundwa na wazawa kwa ajili ya ulinzi wa pwani
Iran imezindua meli 10 za walinzi wa pwani na meli za uongozaji wakati wa ziara ya Rais Masoud Pezeshkian katika…
Iran imezindua meli 10 za walinzi wa pwani na meli za uongozaji wakati wa ziara ya Rais Masoud Pezeshkian katika…
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds
Mnamo mwaka 1979, mara tu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini alitangaza Ijumaa ya mwisho…
Mnamo mwaka 1979, mara tu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini alitangaza Ijumaa ya mwisho…