Familia inayojitolea kuchimba makaburi kwa miongo mitano

Hadi wiki chache zilizopita, walikuwa wakifanya kazi hiyo bila malipo rasmi – kuchimba makaburi, kuosha maiti na kutunza makaburi, wakipokea michango kidogo tu kutoka kwa waombolezaji.