Aliyeteuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuwa balozi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa amekuwa afisa wa karibuni zaidi wa serikali hiyo mpya kutangaza na kutetea imani kwamba utawala wa Kizayuni wa Israel ina mamlaka na haki kwa mujibu wa maandiko ya Biblia ya kuunyakua Ukingo wa Magharibi wa ardhi ya Palestina unaoukalia kwa mabavu.
Related Posts
UNHCR: Karibu wakimbizi 15,000 kutoka DRC wameingia Burundi
Zaidi ya watu 10,000 hadi 15,000 wamevuka mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na kuingia Burundi katika siku…
Zaidi ya watu 10,000 hadi 15,000 wamevuka mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na kuingia Burundi katika siku…
Qatar: Inabidi UN itoe azimio la kuilazimisha Israel iheshimu usimamishaji vita Ghaza
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesisitiza kuwa jumuiya ya kimataifa inapaswa kutoa msaada unaohitajika wa kuzisaidia familia zilizoathirika…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesisitiza kuwa jumuiya ya kimataifa inapaswa kutoa msaada unaohitajika wa kuzisaidia familia zilizoathirika…
AU yatoa mwito wa kutatuliwa changamoto za kibinadamu na afya ya umma barani Afrika
Kamishna wa Umoja wa Afrika (AU) wa Masuala ya Kibinadamu, Afya na Maendeleo ya Kijamii ametoa mwito wa kutafutwa ufumbuzi…
Kamishna wa Umoja wa Afrika (AU) wa Masuala ya Kibinadamu, Afya na Maendeleo ya Kijamii ametoa mwito wa kutafutwa ufumbuzi…