Rais Donald Trump wa Marekani, amerejea ikulu baada ya miaka minne, akianza rasmi muhula wake wa pili wa urais Jumatatu, tarehe 20 Januari 2025. Swali kuu ni: Je, sera yake kuhusu Mashariki ya Kati au Asia Magharibi itakuwaje katika muhula huu wa pili?
Related Posts
Tunisia na Misri kwa mara nyingine zapinga kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina
Rais Abdel-Fattah al-Sisi wa Misri na mwenzake wa Tunisia, Kais Saied, wametilia tena mkazo msimamo wa nchi zao wa kupinga…
Rais Abdel-Fattah al-Sisi wa Misri na mwenzake wa Tunisia, Kais Saied, wametilia tena mkazo msimamo wa nchi zao wa kupinga…
Iran yaishambulia Israel kwa balestiki: Je, makombora haya ni hatari kiasi gani?
Iran yaishambulia Israel kwa balestiki: Je, makombora haya ni hatari kiasi gani? Kuanzia Sajjil hadi Sahab, Iran ina aina mbalimbali…
Iran yaishambulia Israel kwa balestiki: Je, makombora haya ni hatari kiasi gani? Kuanzia Sajjil hadi Sahab, Iran ina aina mbalimbali…
UN yaonya kuhusu taarifa potofu na matamshi ya chuki dhidi ya wahamiaji Libya
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) umeonya kuhusu taarifa potofu za uongo na matamshi ya chuki dhidi ya…
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) umeonya kuhusu taarifa potofu za uongo na matamshi ya chuki dhidi ya…