Kitengo cha hali ya hewa cha Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali (IGAD) kimesema kuwa, eneo la Pembe ya Afrika litashuhudia kiwango kidogo cha mvua kuliko kawaida kati ya mwezi Machi na Mei mwaka huu. Ripoti hiyo inatolewa huku Ukanda huo ukiendelea, kukabiliwa na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Related Posts
Wahamiaji 194 wa Kiafrika wakamatwa nchini Yemen
Vikosi vya usalama vya Yemen jana viliwatia mbaroni wahamiaji 194 kutoka eneo la Pembe ya Afrika waliokuwa wakijaribu kuingia nchini…
Vikosi vya usalama vya Yemen jana viliwatia mbaroni wahamiaji 194 kutoka eneo la Pembe ya Afrika waliokuwa wakijaribu kuingia nchini…
Watu wasiopungua 20 wameuawa katika hujuma ya wanajeshi wa Nigeria dhidi ya maandamano ya Siku ya Quds, Abuja
Makumi ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina wameuawa na wengine kujeruhiwa wakati askari usalama walipofyatua risasi kwenye maandamano ya Siku ya…
Makumi ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina wameuawa na wengine kujeruhiwa wakati askari usalama walipofyatua risasi kwenye maandamano ya Siku ya…
Jumuiya ya ASEAN na udharura wa kusaidia kutatua mgogoro wa Waislamu wa Rohingya
Sambamba na mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mashhauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Mataifa ya Kusini…
Sambamba na mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mashhauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Mataifa ya Kusini…