Msemaji wa Brigedi za Al-Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imeishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuishambulia mara mbili Israel katika operesheni za Ahadi ya Kweli Moja na Ahadi ya Kweli Mbili na kusisitiza kuwa, Muqawama utaheshimu usitishaji vita kama adui Mzayuni naye ataheshimu makubaliano hayo.
Related Posts
IRGC ya Iran yavunja mitandao ya ujasusi ya Israel na Marekani
Vikosi vya kiintelijensia vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) vimesambaratisha mitandao kadhaa ya kijasusi yenye…
Vikosi vya kiintelijensia vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) vimesambaratisha mitandao kadhaa ya kijasusi yenye…
Jumamosi, tarehe 22 Machi, 2025
Leo ni Jumamosi tarehe 21 mwezi mtukufu wa Ramadhani 1446 Hijria, mwafaka na tarehe 22 Machi 2025. Post Views: 15
Leo ni Jumamosi tarehe 21 mwezi mtukufu wa Ramadhani 1446 Hijria, mwafaka na tarehe 22 Machi 2025. Post Views: 15
Afrika Kusini: Uhusiano wetu na Iran na kuipandisha kizimbani Israel ndiyo sababu ya hasira za Marekani
Wizara ya Mambo ya Nje ya Afrika Kusini imeashiria hatua ya rais wa Marekani, ya kufanya propaganda kubwa dhidi ya…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Afrika Kusini imeashiria hatua ya rais wa Marekani, ya kufanya propaganda kubwa dhidi ya…