Wanajeshi wa Israel wamewauwa shahidi Wapalestina kumi na kuwajeruhi wengine 35 katika shambulio dhidi ya mji unaokaliwa kwa mabavu wa Jenin katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, na kupelekea Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas kutoa wito kwa vijana wa Kipalestina kujikusanya na kujiandaa kujibu uchokozi huo wa vikosi vamizi vya Wazayuni.
Related Posts
Baada ya jinai mpya za Ghaza, sasa milango ya mashimo ya kujifichia Wazayuni imefunguliwa Tel Aviv
Leo Jumanne, viongozi ya Israel wamelazimika kufunga milango mashimo na mahandaki wanayojifichia Wazayuni baada ya utawala wa Kizayuni kufanya jinai…
Leo Jumanne, viongozi ya Israel wamelazimika kufunga milango mashimo na mahandaki wanayojifichia Wazayuni baada ya utawala wa Kizayuni kufanya jinai…
Watu saba wauawa katika mashambulizi ya Israel kwenye kambi katika Ukanda wa Gaza
Watu saba wauawa katika mashambulizi ya Israel kwenye kambi katika Ukanda wa GazaZaidi ya watu 18 walijeruhiwa, Al Jazeera iliripoti…
Watu saba wauawa katika mashambulizi ya Israel kwenye kambi katika Ukanda wa GazaZaidi ya watu 18 walijeruhiwa, Al Jazeera iliripoti…
Mashirika ya haki yaonya; Trump atarejesha marufuku dhidi ya Waislamu
Mashirika ya kutetea haki za kiraia nchini Marekani yameonya kuwa, amri ya utendaji iliyosainiwa na Rais Donald Trump siku ya…
Mashirika ya kutetea haki za kiraia nchini Marekani yameonya kuwa, amri ya utendaji iliyosainiwa na Rais Donald Trump siku ya…