Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendeleza mashambulio katika Ukanda wa Ghaza licha ya kutangazwa makubaliano ya kusitisha vita kati ya utawala huo ghasibu na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS. Hadi wakati huu, Wapalestina wasiopungua 40 wameshauliwa shahidi na jeshi hilo.
Related Posts
Iran: Tuko tayari kuanzisha upya mazungumzo ya kuondoa vikwazo
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kisheria, Kazem Gharibabadi amesema kuna misingi na fursa…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kisheria, Kazem Gharibabadi amesema kuna misingi na fursa…
China yajibu mapigo dhidi ya ushuru mpya wa Trump
China imetangaza kujibu mapigo ya ushuru uliotangazwa dhidi ya nchi hiyo na Rais Donald Trump wa Marekani. Post Views: 15
China imetangaza kujibu mapigo ya ushuru uliotangazwa dhidi ya nchi hiyo na Rais Donald Trump wa Marekani. Post Views: 15
Lassa yaua watu 118 Nigeria ndani ya miezi mitatu
Homa ya Lassa imeua watu 118 nchini Nigeria katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu. Hayo yamesemwa…
Homa ya Lassa imeua watu 118 nchini Nigeria katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu. Hayo yamesemwa…