Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) lilisema jana kwamba limepokea msaada wa dola milioni 1.5 kutoka kwa Shirika la Education Cannot Wait (ECW) ambao ni mfuko wa Umoja wa Mataifa wa elimu katika dharura. Msaada huo utatumika kushughulikia mahitaji ya dharura ya kielimu na kisaikolojia ya watoto wakimbizi wa Sudan walioko nchini Libya.
Related Posts
UN: Vifo vya wahamiaji vilivunja rekodi mwaka jana, karibu 9,000 wamekufa
Takwimu mpya zilizotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) zinaonyesha kuwa, karibu watu 9,000 walikufa mwaka jana wakijaribu kuvuka…
Takwimu mpya zilizotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) zinaonyesha kuwa, karibu watu 9,000 walikufa mwaka jana wakijaribu kuvuka…
Mapigano ya silaha yazuka kati ya wanamgambo wa Al-Joulani, wawania mamlaka ya kuendesha miji ya Syria
Duru za Syria zimeripoti kuwa yamezuka mapigano ya silaha kati ya wanamgambo wenye mfungamano na Al-Joulani, kamanda wa kundi la…
Duru za Syria zimeripoti kuwa yamezuka mapigano ya silaha kati ya wanamgambo wenye mfungamano na Al-Joulani, kamanda wa kundi la…

Mafanikio ya Donbass, vita vya mpaka wa Kursk na mgomo wa miundombinu: Wiki hii katika mzozo wa Ukraine
Mafanikio ya Donbass, vita vya mpaka wa Kursk na mgomo wa miundombinu: Wiki hii katika mzozo wa UkraineMoscow imepata mafanikio…
Mafanikio ya Donbass, vita vya mpaka wa Kursk na mgomo wa miundombinu: Wiki hii katika mzozo wa UkraineMoscow imepata mafanikio…