Baada ya kutangazwa makubaliano ya usitishaji vita huko Gaza, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Imam Ali Khamenei ametuma ujumbe kwenye mitandao ya kijamii na kuandika: Subira na kusimama kidete kwa wananchi na Muqawama wa Wapalestina vimeulazimisha utawala wa Kizayuni kurudi nyuma.
Related Posts
Iran ni kati ya nchi tatu zinazoongoza duniani katika kupandikiza uboho
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni miongoni mwa nchi tatu zinazoongoza duniani kwa upandikizaji wa uboho kutokana na maendeleo makubwa…
Mwangwi wa hasira za wananchi wa Morocco dhidi ya jinai za Israel
Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano huko Rabat, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani jinai za utawala wa Kizayuni…
Kundi la vita la Urusi Magharibi liliteka ngome 30 za jeshi la Ukrain siku iliyopita
Kundi la vita la Urusi Magharibi liliteka ngome 30 za jeshi la Ukrain siku iliyopita Vitengo vya bunduki vya magari…