Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetangaza kuwa, sambamba na kusitishwa mauaji ya kimbari huko Ghaza, jumuiya ya kimataifa inapaswa kukabiliana kwa umakini na ipasavyo uasi wa utawala wa Kizayuni katika eneo lote la Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Inabidi kuandaliwe pia uwanja wa kukamatwa, kufunguliwa mashtaka na kuadhibiwa viongozi magaidi wa utawala katili wa Israel kwa jinai za kivita.
Related Posts
Ni maelfu mangapi ya mabomu ya Marekani yamewaangukia watu wa Gaza?
Taasisi moja ya Marekani imekiri kwamba Washington iliipatia Israel maelfu ya mabomu ya kuvunja mahandaki aina ya MK-84 wakati wa…
Taasisi moja ya Marekani imekiri kwamba Washington iliipatia Israel maelfu ya mabomu ya kuvunja mahandaki aina ya MK-84 wakati wa…
Urusi yageuza kirusha kombora kilichotengenezwa na Marekani kuwa ‘Majivu – MOD (VIDEO)
Urusi yageuza kirusha kombora kilichotengenezwa na Marekani kuwa ‘voltage’ – MOD (VIDEO)Kombora la Iskander limetumika kuharibu mfumo wa HIMARS katika…
Urusi yageuza kirusha kombora kilichotengenezwa na Marekani kuwa ‘voltage’ – MOD (VIDEO)Kombora la Iskander limetumika kuharibu mfumo wa HIMARS katika…
Filamu kuhusu Israel inavyowatimua Wapalestina katika ardhi yao yashinda tuzo ya Oscar
Filamu kuhusu utawala haramu wa Israel unavyowatimua Wapalestina katika ardhi yao, imeshinda tuzo ya Oscar na wakurugenzi wake wametoa wito…
Filamu kuhusu utawala haramu wa Israel unavyowatimua Wapalestina katika ardhi yao, imeshinda tuzo ya Oscar na wakurugenzi wake wametoa wito…