Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameyataja matatizo ya usafiri kuwa ni miongoni mwa changamoto kubwa katika kupanua uhusiano wa kiuchumi wa Iran na bara la Afrika akisema: Uwezo wa kimataifa kama wa kundi la BRICS na Shanghai ni fursa muhimu za kustawisha ushirikiano wa kiuchumi.
Related Posts
Ubalozi wa Marekani wazingirwa na waaandamanaji nchini Mauritania
Wananchi wenye hasira wa Mauritania wamefanya maandamano makubwa na kuuzingira ubalozi wa Marekani mjini Nouakchott wakilaani jinai za Israel katika…
Wananchi wenye hasira wa Mauritania wamefanya maandamano makubwa na kuuzingira ubalozi wa Marekani mjini Nouakchott wakilaani jinai za Israel katika…
Trump asaini amri ya kubadilisha mfumo wa uchaguzi na upigaji kura Marekani, apingwa vikali
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya kiutekelezaji ya kubadilisha mfumo wa uchaguzi na upigaji kura wa nchi hiyo,…
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya kiutekelezaji ya kubadilisha mfumo wa uchaguzi na upigaji kura wa nchi hiyo,…
Pezeshkian: Mashahidi Nasrullah na Safiyuddin walibakia watiifu kwa viapo vyao hadi mwisho
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewaenzi na kuwakumbuka kwa wema Mashahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashim Safiyuddin…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewaenzi na kuwakumbuka kwa wema Mashahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashim Safiyuddin…