Idara ya Ulinzi wa Raia ya Gaza imetangaza leo Ijumaa kuwa Wapalestina wasiopungua 101, wakiwemo watoto 27 na wanawake 31, wameuawa shahidi katika mashambulizi ya Israel tangu kutangazwa makubaliano ya kusitisha mapigano juzi Jumatano.
Related Posts
Nini kinajiri hivi sasa huko Syria?
Miezi mitatu baada ya kuanguka utawala wa Bashar al-Assad, Syria inashuhudia duru mpya ya vurugu na mivutano kati ya serikali…

Uvamizi wa Ukreni nchini Urusi: Tunachojua hadi sasa
Uvamizi wa Kiukreni nchini Urusi: Tunachojua hadi sasaKikosi cha uvamizi cha wanajeshi 1,000 na makumi ya magari ya kivita kimeingia…

ICC yaunga mkono kuundwa mahakama maalum kuchunguza uhalifu DRC
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetangaza kuunga mkono kuundwa mahakama maalumu ya kuchunguza uhalifu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya…