Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameitaka Israel ikomeshe kukalia kwa mabavu ardhi ya Lebanon na kufanya operesheni za kijeshi ndani ya nchi hiyo, akisisitiza kuwa vitendo hivi vinakiuka azimio nambari 1701 la Baraza la Usalama.
Related Posts
Pezeshkian: Iran na Russia hazitakubali kuburuzwa na maadui
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, mapatano kamili ya ushirikiano wa kistratejia kati ya Iran na Russia yanaonyesha kwamba…

Wanamitandao wa Iran: “Trump anasema uwongo”, “Marekani Shetani hatoki hatiani kwa mazungumzo”
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wametuma jumbe mbalimbali za kukosoa sera za Rais wa Marekani dhidi ya Iran…

Mapigano katika eneo la Kursk yanaingia siku ya tatu, Urusi yasema
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…