Sudan yakosoa hatua ya Marekani ya kumuwekea vikwazo kamanda wa jeshi la nchi hiyo

Sudan imelaani na kukosoa uamuzi wa Wizara ya Fedha ya Marekani ya kumuwekea vikwazo kiongozi wa jeshi la nchi hiyo, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan.