Makundi kadhaa ya wanaharakati wa Kipalestina nchini Uingereza yametoa wito wa kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina, baada ya kutangazwa makubaliano ya kuzisitisha vita kati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na utawala ghasibu wa Israel.
Related Posts
RSF yaua raia 45 Al-Malha; jeshi la Sudan lasonga mbele
Zaidi ya raia 45 wameuawa katika shambulio la Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika eneo la Al-Malha, yapata kilomita…
Zaidi ya raia 45 wameuawa katika shambulio la Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika eneo la Al-Malha, yapata kilomita…
Hamas yapinga vikali kauli ya Trump, yanasema usitishaji mapigano ndio njia pekee ya kuwarudisha mateka wa Israel
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani wito wa Rais wa Marekani wa kufutwa usitishaji vita katika eneo…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani wito wa Rais wa Marekani wa kufutwa usitishaji vita katika eneo…
Angola yataka kusitishwa mapigano kabla ya mazungumzo ya amani DRC
Rais wa Angola, João Lourenço, ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) ametoa wito wa kusitishwa mara…
Rais wa Angola, João Lourenço, ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) ametoa wito wa kusitishwa mara…