Mwanadiplomasia wa Marekani aliyejiuzulu mwaka jana kulalamikia vita vya Ghaza na uungaji mkono wa Washington kwa vita hivyo amesema, jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika vita hivyo ‘zitamsakama’ waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Antony Blinken kwa muda wote uliosalia wa maisha yake.
Related Posts
Israel yashambulia nyumba ya makazi ya raia huko Gaza na kuuwa shahidi watu 15
Idadi nyingine ya Wapalestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya leo asubuhi utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.…
Idadi nyingine ya Wapalestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya leo asubuhi utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.…
Ndege ya Urusi aina ya Su-34 yashambulia vikosi vya Ukraine katika eneo la mpaka wa Kursk kwa mabomu ya angani
Ndege ya Urusi aina ya Su-34 yashambulia vikosi vya Ukraine katika eneo la mpaka wa Kursk kwa mabomu ya anganiKulingana…
Ndege ya Urusi aina ya Su-34 yashambulia vikosi vya Ukraine katika eneo la mpaka wa Kursk kwa mabomu ya anganiKulingana…
Rais wa Sudan Kusini atoa amri ya kufanyika uchunguzi wa ajali ya ndege iliyoua watu 20
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ameamuru uchunguzi ufanyike kuhusu ajali ya ndege iliyotokea jana Jumatano asubuhi na kusababisha vifo…
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ameamuru uchunguzi ufanyike kuhusu ajali ya ndege iliyotokea jana Jumatano asubuhi na kusababisha vifo…