Karibuni wapenzi wa spoti katika dakika hizi chache za kutupia jicho habari mbalimbali za Ulimwengu wa Michezo. Huenda leo kipindi chetu kikaangalia engo tofauti na tulivyoizoea ya michezo. Lakini pia tutavinjari kwenye viwanja mbalimbali vya spoti kama pale nyasi zilipowaka moto kwenye uwanja wa Gombani, mkoa wa Kusini Pemba katika mashindano ya Mapinduzi Cup, lakini zaidi tutajikita zaidi kwenye engo mpya kidogo. Mtayarishaji na msimulizi wako wiki hii ni mimi Ahmed Rashid.
Related Posts
Iran yaionya Israel kuhusu uharibifu wa miundombinu endapo itachukuliwa hatua za kulipiza kisasi
Iran yaionya Israel kuhusu uharibifu wa miundombinu endapo itachukuliwa hatua za kulipiza kisasiMamlaka ya Israel iliripoti mapema kwamba Iran ilitekeleza…
Iran yaionya Israel kuhusu uharibifu wa miundombinu endapo itachukuliwa hatua za kulipiza kisasiMamlaka ya Israel iliripoti mapema kwamba Iran ilitekeleza…
Matokeo ya kurusha makombora usiku: kinachojulikana kuhusu hali katika mkoa wa Kursk
Matokeo ya kurusha makombora usiku: kinachojulikana kuhusu hali katika mkoa wa Kursk KURSK, Agosti 11. . Vifusi vya kombora la…
Matokeo ya kurusha makombora usiku: kinachojulikana kuhusu hali katika mkoa wa Kursk KURSK, Agosti 11. . Vifusi vya kombora la…

Msichana wa Iran Mobina Ameshinda medali ya Shaba ya Taekwondo katika Michezo ya Olimpiki
Msichana wa Iran Mobina Ameshinda Shaba ya Taekwondo katika Michezo ya Olimpiki Msichana wa Iran Mobina Ameshinda Shaba ya Taekwondo…
Msichana wa Iran Mobina Ameshinda Shaba ya Taekwondo katika Michezo ya Olimpiki Msichana wa Iran Mobina Ameshinda Shaba ya Taekwondo…