Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada amesema kuwa nchi hiyo imejiandaa kujibu hatua yoyote ya Washington ya kuiwekea Canada ushuru mpya. Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada ameeleza haya siku chache kabla Rais mteule wa Marekani, Donald Trump hajaanza kazi rasmi katika Ikulu ya White House.
Related Posts
Viongozi wa kanisa Kongo wakutana na waasi wa M23
Ujumbe wa taasisi mbili za kanisa nchini Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo umekutana na waasi wa M23 mashariki mwa taifa…
Ujumbe wa taasisi mbili za kanisa nchini Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo umekutana na waasi wa M23 mashariki mwa taifa…
Rais wa Cuba: Muqawama wa taifa la Palestina ni mapambano bora zaidi duniani
Rais Wa cuba amesema kuwa, muqawama wa taifa la Palestina ni mapambano bora zaidi duniani. Post Views: 23
Rais Wa cuba amesema kuwa, muqawama wa taifa la Palestina ni mapambano bora zaidi duniani. Post Views: 23

Wanne mbaroni Tanzania kwa kumuua mume wa mdaiwa mkopo,
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…