Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa makubaliano ya kina ya kimkakati ya ushirikiano kati ya Iran na Russia yanahusu vipengee vyote vya uhusiano wa nchi na kwamba asili ya makubaliano hayo zaidi ni katika uga wa uchumi.
Related Posts
Waziri wa Mambo ya Nje: Magharibi inapaswa ichukue hatua nyingi ili Iran iweze kuwa na imani nayo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mjibizo kwa kauli ya rais mpya wa Marekani aliyeonyesha hamu ya kufikia…

Medvedev anapendekeza orodha ya “maadui wa Urusi”
Medvedev anapendekeza orodha ya “maadui wa Urusi”Maadui wa Moscow wanahitaji kuogopa kisasi kinachokuja, rais huyo wa zamani alisema Moscow inapaswa…
DRC Yasitisha Usafirishaji wa Kobalti kwa Miezi Minne
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imesitisha usafirishaji wa kobalti kwa miezi minne ili kudhibiti usambazaji wa kobalti kwenye soko…