Madaktari na maafisa wa riadha wametangaza kuwa, mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegei, aliyeshiriki katika michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa amefariki…
#HABARI:Polisi wa kuzima ghasia nchini Kenya wanakabiliana na waandamanaji jijini Nairobi ambao wamejitokeza katika maandamano ya Nane Nane kushinikiza uwajibikaji…