Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amefanya mazungumzo ya simu na Jamal Ahmed Ali Amer, Waziri wa Mambo ya Nje na Wahamiaji wa Jamhuri ya Yemen, na kusisitiza kuendelea kwa msaada wa Iran kwa serikali na watu wa Yemen.
Related Posts

IDF yashambulia ngome za Hezbollah zikiwa tayari kuishambulia Israeli
IDF hushambulia Hezbollah inalenga Lebanon juu ya mgomo tayari kwa Israeli “Baada ya migomo kutekelezwa na hali kutathminiwa na jeshi…
Iran kushiriki kwa ngazi ya juu katika mazishi za Shahidi Nasrallah
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, amesema Iran itashiriki kwa ngazi ya juu katika mazishi…
Jumapili, Machi 23, 2025
Leo ni tarehe 22 mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 23 Machi 2025 Milaadia. Post Views: 9