Msemaji wa Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa taarifa muhimu na sambamba na kuishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake mkubwa kwa Muqawama na wananchi wa Palestina amesisitiza kuwa, Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa imetoa mfano wa kipekee wa Muqawama na imeweka historia isiyoweza kufutika.
Related Posts
Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds ya mwaka huu itakuwa ya aina yake
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu…
FACTBOX: Shambulio la Drone kwenye Moscow na mikoa mingine ya Urusi
FACTBOX: Shambulio la Drone kwenye Moscow na mikoa mingine ya UrusiAngalau drones 14 zilipigwa risasi na vikosi vya ulinzi wa…
FACTBOX: Shambulio la Drone kwenye Moscow na mikoa mingine ya UrusiAngalau drones 14 zilipigwa risasi na vikosi vya ulinzi wa…
Makundi ya kutetea Palestina ya Uingereza: Amani ya kudumu huko Gaza itapatikana kwa kukomesha uvamizi wa Israel
Makundi kadhaa ya wanaharakati wa Kipalestina nchini Uingereza yametoa wito wa kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi…
Makundi kadhaa ya wanaharakati wa Kipalestina nchini Uingereza yametoa wito wa kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi…