Kufuatia ziara ya Emmanuel Macron, Rais wa Ufaransa nchini Lebanon, António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa pia amezuru nchi hiyo na kulitaka jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kabisa katika maeneo linayoyakalia kwa mabavu kusini mwa Lebanon.
Related Posts
Saudia: Israel inahatarisha usalama na utulivu wa eneo zima
Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudia imesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unatishia usalama na utulivu wa eneo…

Jeti za Marekani zimeonekana juu ya Ukraine (VIDEO)
Jeti za Marekani zimeonekana juu ya Ukraine (VIDEO)Video zinazoshirikiwa mtandaoni zinadaiwa zinaonyesha F-16 zinazotengenezwa Marekani zikiruka juu ya Odessa Ndege…
Niger yajitoa rasmi katika Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa, Francophone
Niger imejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Kimataifa ya nchi zinazozungumza Kifaransa (OIF) au Francophone sambamba na juhudi zinazoendelea kufanywa na…