Gavana wa Benki Kuu ya Iran, Mohammadreza Farzin, amesema kuwa kupitia utekelezaji wa makubaliano ya kifedha kati ya Iran na Russia, sarafu za mataifa haya mawili zitakuwa msingi wa biashara kati ya nchi hizo kwa mujibu wa kiwango cha mabadilishano kilichokubaliwa sokoni.
Related Posts

Duru za Hezbollah zinasema Nasrallah yuko salama kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel
Duru za Hezbollah zinasema Nasrallah yuko salama kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel Vyanzo vya usalama vya Hezbollah vimeiarifu Press…
Mvutano wazuka kati ya Misri na Marekani baada ya tishio la Trump; el Sisi ‘huenda akaashirisha’ ziara ya Washington
Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi huenda akaahirisha ziara yake iliyokuwa imepangwa mjini Washington, kama ishara ya mkwamo mkubwa wa…
Kutimuliwa wanajeshi wa Ufaransa katika nchi ya sita ya Afrika
Siku ya Alkhamisi, Februari 20, 2025, wanajeshi wa mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa walitimuliwa katika kambi yao pekee ya…