Stephanie Koury, naibu mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya, jana Jumatatu alikutana na Spika wa Baraza la Wawakilishi lenye makao yake mashariki mwa nchi hiyo na walisisitizia umuhimu wa kuweko mchakato wa kina utakaowezesha kufanyika uchaguzi nchini humo.
Related Posts

Urusi yadondosha mabomu yenye usahihi wa hali ya juu dhidi ya vikosi vya uvamizi vya Ukraine huko Kursk
Urusi yadondosha mabomu yenye usahihi wa hali ya juu dhidi ya vikosi vya uvamizi vya Ukraine huko KurskJeshi la Moscow…
Urusi yadondosha mabomu yenye usahihi wa hali ya juu dhidi ya vikosi vya uvamizi vya Ukraine huko KurskJeshi la Moscow…
Kenya yatuma wanajeshi zaidi nchini Haiti
Kenya imetuma maafisa 217 zaidi wa polisi nchini Haiti, kama sehemu ya jeshi la kimataifa la kukabiliana na ghasia za…
Kenya imetuma maafisa 217 zaidi wa polisi nchini Haiti, kama sehemu ya jeshi la kimataifa la kukabiliana na ghasia za…
Hamas yalaani marufuku ya pamoja ya US na EU dhidi ya al Aqsa TV
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi uliochukuliwa na Marekani na Umoja wa Ulaya wa kupiga marufuku…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi uliochukuliwa na Marekani na Umoja wa Ulaya wa kupiga marufuku…