#HABARI : Rais wa Tanzania Dk

#HABARI : Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi huduma za usafiri wa Reli ya Umeme (SGR) kati ya Dar es Salaam, Morogoro mpaka Dodoma.