.

.

Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanzisha benki maalum ya kuhifadhi mifupa ambayo itatumika katika tiba kwa wagonjwa watakaohitaji mifupa hiyo.

Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu kutoka MOI, Dkt. Zarina Shabay, wakati wa mahojiano maalum na #UTV katika kipindi cha #MorningTrumpet.

#AzamTVUpdates
✍Juliana James
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *