Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Dkt. Zarina Shabay amesema matumizi ya Akili Mnemba (AI) yameongeza ufanisi mkubwa katika upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu hospitalini hapo.
#AzamTVUpdates
✍Juliana James
Mhariri | John Mbalamwezi