1xBet yafungua fursa mpya katika Maonyesho ya SiGMA Afrika

Kuanzia Machi 10 hadi 12, 2025 jiji la Cape Town, Afrika Kusini liliandaa kongamano la SiGMA Afrika ambapo betting company 1xBet, ilikuwa kitovu cha tukio hilo kubwa. 

Kwenye banda la kampuni hiyo mazingira ya kibiashara yenye tija yalitawala, huku mameneja wakipata nafasi ya kuzungumza na washirika na kufahamiana na wateja wapya.

Utofauti ulikuwa ni mazingira ya kirafiki yenye burudani shirikishi ambapo banda la 1xBet lilikuwa na baa, hivyo kila mgeni aliweza kupumzika huku akifurahia vinywaji mbalimbali vilivyokuwepo. Kampuni hiyo pia iliandaa shindano ambapo washindi walipata iPhone 16 Pro, AirPods Max na bidhaa nyingine zenye nembo ya kampuni hiyo.

Mameneja walizungumza na wageni waliotembelea banda la kampuni hiyo na kuonyesha 1xBet Affiliate program ambazo zinawaunganisha zaidi ya washirika 100,000 na jinsi zinavyofanya kazi. 

Washiriki wa programu za kampuni hiyo wamekuza biashara zao katika viwango vipya na sasa wanapata kamisheni yenye faida kubwa hadi asilimia 50 kutoka kwa kila mchezaji aliyejisajili.

Kongamano la SiGMA Afrika mwaka huu pia lilihusisha sherehe ya kipekee iitwayo The ART OF MONEY. Tukio hili lilikuwa uthibitisho wa  muunganiko wa sanaa na michezo ya kubashiri. Washirika wa 1xBet walifurahia mazingira rafiki wakiwa wamezungukwa na maonyesho ya sanaa na maeneo maalum ya kupiga picha.

Afrika ni eneo muhimu kwa 1xBet, ndiyo maana kampuni hiyo imekuwa ikitekeleza miradi muhimu ya kijamii, kusaidia kukuza michezo na kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Aidha, 1xBet inakuza utamaduni wa Kiafrika na ni mshirika wa muda mrefu wa mwanamuziki mahiri Davido na wasanii wengine.

SiGMA Africa imekuwa tukio muhimu Afrika na ukubwa wa kongamano hilo unakuwa kila mwaka. Kampuni ya 1xBet inawashukuru waandaaji wa tukio hilo kwa kazi kubwa na bora waliyoifanya na wazungumzaji kwa mada zao za kuvutia walizoziwasilisha.

Tukutane kwenye banda la 1xBet mwakani!

Kuhusu 1xBet

1xBet ni kampuni ya kimataifa yenye uzoefu wa miaka 18 katika michezo ya kubashiri na kamari, ikiwa miongoni mwa kampuni bora barani Afrika. Kampuni hii inasaidia juhudi muhimu za kukuza michezo barani Afrika na ni mshirika rasmi wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) pamoja na michuano yote inayoandaliwa na shirikisho hilo. 

1xBet inashirikiana na klabu na mashirikisho makubwa ya michezo barani Afrika, ikiandaa mashindano ya wachezaji wa ridhaa na kusaidia katika kukuza vipaji ili kufikia malengo yao.

Orodha ya washirika wa kimataifa wa 1xBet inajumuisha FC Barcelona, Paris Saint-Germain, na FIBA. Jukwaa la kampuni hii linapatikana katika lugha 70 na huvutia zaidi ya wachezaji milioni 3 kila mwezi. Mamilioni ya watumiaji wake barani Afrika hubashiri kwenye matukio makubwa ya michezo na kufurahia michezo bora ya mtandaoni.

Aidha, kampuni hii inafanya kazi kwa karibu na sekta ya burudani Afrika na inashirikiana na nyota wengi kwenye sekta hiyo. Mwanamuziki mashuhuri wa Nigeria, Davido, ni balozi wa 1xBet, akiwakilisha uhusiano wa 1xBet na michezo pamoja na burudani.

Mafanikio ya kampuni hii yanatambuliwa kwa tuzo mbalimbali, ikiwemo kushinda Sportsbook of the Year – Africa na Best on Mobile 2025 kwenye Tuzo za SiGMA Afrika, pamoja na Affiliate Company of the Year kwenye Tuzo za Kimataifa za Michezo ya Kubashiri mwaka 2024.

Kuhusu SiGMA Afrika 2025

SiGMA Afrika 2025 imeandaliwa na kampuni ya kimataifa ya SIGMA Group na kuwa maonyesho makubwa zaidi barani Afrika. Takribani wageni 2,500, wazungumzaji 150, na kampuni 550 wameshiriki kwenye kongamano hili. SIGMA Group inafanya kazi barani Ulaya, Asia, Afrika na Amerika Kusini, ikitoa mchango mkubwa katika kila eneo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *