Marekani yaikosoa Uingereza na washirika kwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel // Amri ya kutotoka nje yatangazwa Los Angeles huku Rais Trump wa Marekani akiapa ‘kulikomboa’ jiji hilo // Na Austria yaomboleza baada ya watu 11 kuuawa kwa kupigwa risasi shuleni